Mavazi ya mazoezi yanayokuwa na majina ya makafiri

Swali: Ni ipi hukumu ya kuvaa mavazi mazoezi ambayo yanakuwa na majina ya wachezaji ambao ni makafiri au yanakuwa na alama kama za misalaba na mfano wa hayo?

Jibu: Yote haya hayajuzu. Lakini ikiwa yana alama za kikafiri, hili ni baya zaidi. Kadhalika majina ya makafiri na kuwaadhimisha makafiri, yote haya hayajuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014