“Mauti ni yaleyale na sababu zinatofautiana”

Swali: Sentesi: mauti ni mamoja na sababu zinatofautiana?

Jibu: Ndio, inajuzu kutaabiri hivyo na hakuna neno – Allaah akitaka.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/103-104)
  • Imechapishwa: 24/08/2020