Matumizi ya mlezi ambaye chumo lake ni la haramu

Swali: Mimi ni kijana ambaye msimamizi wangu anafanya kazi katika benki moja wapo ya Ribaa. Yeye ndiye ambaye hunisimamia. Je, nina dhambi? Ni lipi la wajibu kwangu?

Jibu: Hakuna juu yako kitu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 03/01/2018