Matendo madogo madogo wakati imamu anakhutubu


Swali: Inajuzu kujitikisa kidogo na huku imamu yuko anakhutubu kama mtu kuchukua leso mbele yake?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo. Kuchukua leso sio dharurah. Asiichukue. Wala asichukue Miswaak wala bakora kutoka katika ardhi. Hii sio dharurah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (13) http://alfawzan.af.org.sa/sites/de
  • Imechapishwa: 30/09/2017