Swali: Nimetokwa na matapishi tumboni. Je, yanatengua wudhuu´?

Jibu: Ndio. Akitokwa na matapishi kwa njia ya mdomo yanachengua wudhuu´.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-11.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020