Swali: Ni ipi hukumu ya kuyasomea maji kwa ajili ya kuyaoshea gari ili kuondosha kijicho?

Jibu: Simjui msingi wowote juu ya hili. Kitendo hichi ni Bid´ah. Anayesomewa ni mgonjwa kisha anapuliziwa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 12/05/2019