Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma matabano ya Kishari´ah kwa kutumia chumvi kisha mtu akainyunyizia katika nyumba?

Jibu: Haya ni katika matendo ya kipindi cha kikafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathoumaged05-03-1440h.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2019