Masuala ya talaka yanapelekwa katika mahakama ya Kishari´Ah


Swali: Nilimtaliki mke wangu talaka moja wakati ambapo nilikuwa na khasira. Je, talaka imepita?

Jibu: Haya kunarejelewa mahakama ya Kishari´ah au Muftiy anayekubalika huko kwenu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 24/04/2018