Masomo ya Qur-aan au masomo ya darsa?


Swali: Je, nimwache mtoto wangu katika mizunguko ya kuhifadhi Qur-aan kwanza ili ajifunze Qur-aan au nije naye hapa ajifunze ´Aqiydah na hukumu?

Jibu: Kusanya kati ya yote mawili. Mpeleke katika mizunguko ya kuhifadhi Qur-aan baadhi ya nyakati na mwache ahudhurie darsa zenye manufaa na faida katika baadhi ya nyakati zengine. Wakati ni mpana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-16-2-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2018