Masomo ya chuo kikuu ya mwanamke


Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kusoma chuo kikuu mchanganyiko nje ya nchi?

Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo. Haifai kwake kusoma pale ambapo wanaume wanakaa pembezoni mwa wanawake. Inafaa kwake tu kusoma pale ambapo wanaume wametengana na wanawake au kwenye chuo kikuu cha wanawake peke yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (66) http://alfawzan.af.org.sa/node/16524
  • Imechapishwa: 13/08/2017