Masharti ya muungano na makafiri dhidi ya waislamu magaidi


Swali: Je, ushirikiano kati ya nchi ya Kiislamu na nchi ya kikafiri dhidi ya kundi la Kiislamu lenye kudhulumu linalotishia amani na ustadi inazingatiwa kuwa ni mapenzi na ni kuwanusuru makafiri?

Jibu: Ikiwa wanahitajia hilo na wakalazimika kufanya hivo, ni sawa kwa sharti wasiwaache makafiri wakawatawala waislamu. Inajuzu kuchukua msaada kutoka kwao kwa kununua silaha na kuazima silaha. Pamoja na kushika tahadhari na makafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu'
  • Imechapishwa: 05/09/2020