Swali: Je, viongozi waislamu ambao hawahukumu kwa Qur-aan na Sunnah ni watawala? Je, inafaa kuwapiga vita wakiwa sio watawala?

Jibu: Nimuulize huyu muulizaji: Je, vita na makinzano yaliyoikumba miji yamezalisha utulivu, amani, uimara, usalama na maendeleo? Hizi ni propaganda zenye chuki.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Haqiyqat-ul-Bay´ah fiyl-Islaam wa Bayaan Shuruutwihaa wa Khatwar Naz´ihaa http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=148858
  • Imechapishwa: 06/12/2020