Swali: Mwenye kuswali akiwa na shaka kama amesujudu sijda mara moja au mbili katika Rakaa´ miongoni mwa Rakaa´ afanye nini?

Jibu: Ni wajibu kwake kufanya kile anachokitilia shaka na baada ya hapo ni wajibu kwake kusujudu Sujuud-us-Sahuw.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 04/04/2018