Swali: Mwenye kuswali akiwekea mashaka kama amesoma al-Faatihah au hakusoma, kisha akawa ameisoma mara nyingine, je, juu yake ana Sujuud-us-Sahuw kwa kuwa ametilia shaka juu ya nguzo?

Jibu: Ndio. Anachotakiwa aisome na ahakikishe kuwa ameisoma halafu asujudu Sujuud-us-Sahuw kwa kuwekea kwake shaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020