Marafiki wametofautiana jangwani juu ya Qiblah

Swali: Mimi na rafiki yangu tulikuwa jangwani. Tukatofautiana juu ya Qiblah; mimi naonelea kuwa ni upande fulani na yeye anaonelea kuwa ni upande mwingine. Je, tuswali pamoja kuelekea Qiblah cha mmoja wetu au kila mmoja aswali kivyake kule anakoonelea yeye?

Jibu: Kila mmoja aswali kule ambako ameonelea. Wasifuatane kibubusa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2017