Marafiki wa baba ambao ni Ahl-ul-Bid´ah


Swali: Baba yangu ana marafiki ambao ni katika Ahl-ul-Bid´ah Je, inafaa kuwatendea wema?

Jibu: Hapana, usiwatendee wema wakiwa ni katika Ahl-ul-Bid´ah. Isipokuwa tu ikiwa kama unawalingania na kuwabainishia haki. Hiki ni kitu bora unachoweza kuwafanyia.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.ajurry.com/vb/showthread.php?t=45676
  • Imechapishwa: 12/04/2020