Swali: Mtumzima ambaye wakati fulani anakuwa na fahamu na wakati mwingine anapotolewa na fahamu. Je, ni lazima kumtolea kafara ya siku zilizompita za Ramadhaan?

Jibu: Siku ambayo kumbukumbu yake imemrudi anapaswa kufunga na siku ambayo kumbukumbu yake imempotea anatakiwa kutolewa chakula.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 19/11/2019