Mu´tazilah Qadariyyah wao hawana jengine isipokuwa matakwa aina moja ambayo ni matakwa ya kidini na Kishari´ah. Wamethibitisha matakwa aina hii peke yake. Wanaokabiliana nao ni Jabriyyah ambao hawana jengine isipokuwa matakwa ya kilimwengu na wakakanusha matakwa ya kidini na Kishari´ah. Hivyo wakawa wamepotea.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/58)
  • Imechapishwa: 07/06/2020