Manii ni najisi?


Swali: Je, manii huzingatiwa kuwa ni najisi?

Jibu: Hapana. Manii hayazingatiwi kuwa ni najisi…

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=90
  • Imechapishwa: 20/09/2020