Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema kumwambia mtu:

”Wewe na baba yako ni mali ya baba yako.”

Je, mama akichukua mali ya mtoto wake inaingia katika dalili hii?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema:

”… ni mali ya baba yako.”

Mama haingii katika andiko hili. Mama sio baba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017