Mama anataka mtoto amuwekee video camera aweze kumuona


Swali: Kuna mtu anafanya kazi katika mji huu (Saudi Arabia) na mama yake anamuomba kila siku amuwekee video camera ili aweze kuwaona. Je, amuitikie?

Jibu: Hapana, asimuitikie kwa mambo ya mapicha. Kwa kuwa picha ni haramu. Maadamu ni haramu mtu ajiepushe nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014