Swali: Je, Malaika wanaweza kumuona Allaah (´Azza wa Jall) katika maisha haya ya dunia?

Jibu: Allaah ni mwenye pazia. Allaah (´Azza wa Jall) ni mwenye pazia ambayo ni nuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017