Makumbusho (museum) ya Kiislamu hayajuzu

Swali: Kuna ambao wanataka kuwekwe makumbusho (museum) na kuwekwe ndani yake zile athari zote zinazohusiana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo kwa sababu hilo linapelekea katika kupetuka mipaka juu athari hizi. Halijuzu hilo. Huku ni kuhuisha Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (55) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16503
  • Imechapishwa: 23/09/2017