Makatazo ya kujipenyeza kati ya watu ili kwenda safu za mbele


Swali: Ni sawa kwa mtu kupenyeza kati ya safu mbali na siku ya ijumaa?

Jibu: Si sahihi kupenyeza kati ya safu. Ni mamoja siku ya ijumaa au siku nyenginezo. Ni maudhi. Isipokuwa kukiwa upenyo ndio mtu anatakiwa kuuziba. Wale ambao hawakuziba upenyo huu ndio ambao wameacha kufanya hivo. Kwa hivyo inakuwa ni dharurah ya kuuziba.adabu

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 22/12/2018