Makafiri watalipwa kwa maendeleo wanaowafanyia watu?

Swali: Je, makafiri wana ujira wowote kutokana na zile bidhaa wanazozifanya ambazo zinamsaidia mwanadamu?

Jibu: Ujira wao wanaupata duniani. Wanatengeneza kwa ajili ya kupokea pesa. Wanafaidika pesa kwa bidhaa hizo. Wanapata ujira wao. Hawakutengeneza bidhaa hizi kwa ajili ya kutaka kuwarehemu watu. Wametengeneza kwa ajili ya kutaka kuchuma pesa. Wanaweza vilevile kutengeneza hata bidhaa zenye kuangamiza na hivyo wanakuwa ni wenye kupata madhambi kutokana na wale wanaoawaangamiza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (70) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-06.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020