Makafiri wanaofanya kazi mji wa Makkah wanatakiwa kuondoshwa

Swali: Kuna manaswara wanaofanya kazi katika baadhi ya migahawa na mashirika Makkah. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Haifai kwa makafiri kuingia mji wa Makkah. Haifai akitambulika kuwa ni kafiri ni wajibu kumwondosha. Waandikie wahusika kuhusiana na jambo hili.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (11) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191491#219817
  • Imechapishwa: 21/07/2019