Swali: Makafiri wanauawa kwa ajili ya ukafiri wao au kwa ajili ya kuwazuia watu na Dini ya Allaah?
Jibu: Kwa ajili ya yote mawili; ukafiri wao na kuwazuia watu na Dini ya Allaah. Vilevile kwa ajili ya kuwaudhi Waislamu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-04-15.mp3
- Imechapishwa: 16/11/2014