Swali: Inajuzu kwa wanaadamu kuitwa kwa majina ya Malaika kama vile “Jibriyl” na “Mikaaiyl”?
Jibu: Hakuna neno. Hakuna neno kwa majina ya Malaika na ya Mitume.
Swali: Inajuzu kuwaita watoto wa kike “Malaak” na “Malak”?
Jibu: Hapana. Haijuzu kumwita msichana jina la “Malaak”. Malaak maana yake ni Malak.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
- Imechapishwa: 26/08/2017