Swali: Je, inajuzu kuyafanyia tarjama majina ya Mitume katika lugha ya kigeni na khaswakhaswa pindi tunapozungumza na makafiri huko magharibi?

Jibu: Majina hayafanyiwi tarjama. Majina hayafanyiwi tarjama. Yanatakiwa kutajwa kama yalivo na haijalishi kitu ni lugha gani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (79) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-11-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 02/11/2018