Swali: Inajuzu kuyapa mapote potofu na watu madhalimu majina bandia ili kuepuka kuwaadhimisha kwa majina yao ambayo ni mazuri?

Jibu: Hapana, si sawa kufanya hivo. Hilo linazuia fujo. Linaweza kuzua fitina na mauaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017