Majimaji yanayomtoka mwanamke baada ya kuzaa


Swali: Mwanamke kutokwa na maji baada ya damu ya uzazi kunamzuia na kuswali ikiwa hakuna damu yoyote inayotoka?

Jibu: Akitokwa na manjano-njano/uchafu. Ama maji yasiyoambatana na manjano-njano/uchafu hayazingatiwi. Lakini maji hayo yakitoka na manjano-njano/uchafu ni nifasi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 15/04/2018