Swali: Je, maiti hujua anayekuja kumtembelea na anamuona kama walivyosema hivyo baadhi ya wanachuoni?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi. Mimi nimewaambieni mambo ya ndani ya kaburi hakuna mwenye kuyajua isipokuwa Allaah na hakusemwi chochote juu yake isipokuwa kwa kuwepo dalili sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2138
  • Imechapishwa: 12/07/2020