Mahusiano ya kidiplomasia na makafiri hayahitajii mapenzi


Swali: Uhusiano wa kibalozi kati ya watawala wa Kiislamu na wasiokuwa waislamu unapelekea katika kuwapenda wasiokuwa waislamu?

Jibu: Hapana, sivyo. Kunaweza kupatikana mawasiliano kati yao kwa ajili ya maslahi yaliyopo kati ya pande mbili. Hili halipelekei katika mapenzi. Hili linaweza kuwepo bila ya mapenzi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
  • Imechapishwa: 05/09/2020