Swali 49: Nyumba na maduka ya kukodisha yanalazimika kutoa zakaah?

Jibu: Vitu hivi pia ni kama ilivyotangulia, ni kama vitu vya biashara inayotoka. Ikijiwa na mali na ikapitikiwa na mwaka na ikafikia kile kiwango cha wajibu kuitolea zakaah. Ama mizizi yake haina zakaah kama tulivyotangulia.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ijaabatu as-Saa-il, uk. 120
  • Imechapishwa: 28/09/2019