Madhiy Yanayomtoka Mwanaume Na Mwanamke


Swali: Madhiy yanatoka kwenye tupu ya mwanamke au mwanaume ni najisi?

Jibu: Ni najisi lakini najisi khafifu. Inatosheleza kwake kunyunyizia maji na inatosheleza kufanya hivi. Hii ni najisi khafifu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-06.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014