Madhehebu Ya Rabiy´ al-Madkhaliy Hayajabadilika


Swali: Kuna tuhuma zinazoenea ya kwamba Muftiy, Shaykh Swaalih al-Fawzaan na wewe mna mfumo unaotofautiana na mfumo wa Shaykh Rabiy´. Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Mimi sijui kitu kutoka kwa Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah [Aalush-Shaykh] wala Shaykh Swaalih al-Fawzaan. Mimi namjua Shaykh Rabiy´ mpaka hivi leo. Ana mfumo wa Ahl-us-Sunnah. Sijui kuwa amebadilika. Kuhusu kwamba ni mkali wakati anapowaraddi baadhi ya watu inaweza kuwa inatokamana na kwamba yeye anajua kitu wasichojua hawa wengine.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=146340
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3