Madhambi yote ni shirki ndogo?


Swali: Kuna baadhi ya wanachuoni waliosema kwamba madhambi yote yanaingia ndani ya shirki ndogo. Je, maoni haya ni sahihi?

Jibu: Sio kila dhambi ni shirki. Kuna ambayo ni shirki na mengine ambayo si shirki. Kuyafanya madhambi yote kuwa ni shirki ni kosa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 56
  • Imechapishwa: 08/07/2018