Maasi yanatofautiana na kuzidiana


Swali: Kuna wanachuoni ambao wamesema kuwa maasi yote ni makubwa. Je, kauli hili ni sahihi?

Jibu: Sio maasi yote ni makubwa. Maasi yanatofautiana na kuzidiana. Hata dhambi kubwa haziko kwenye daraja moja, baadhi yake ni khatari zaidi kuliko mengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
  • Imechapishwa: 28/06/2018