Maandamano ya wanawake


Swali: Ni ipi hukumu ya maandamano ya wanawake?

Jibu: Maandamano yamezushwa, sawa ikiwa ya wanaume na wanawake.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=2151
  • Imechapishwa: 01/03/2018