Swali: Ipi hukumu ya maandamano ikiwa yataungwa mkono na mtawala… ?
Jibu: Hapana! Maandamano hayajuzu, sawa yakiungwa mkono au hapana. Maandamano ni fujo na yanachangia madhara mengi. Na Uislamu ni dini ya kimya na ya uthabiti. Hakuna maandamano katika Uislamu.
Mtawala hakuamrisha hilo na hata akiamrisha hili atanasihiwa [kwamba halifai]. Ataambiwa kuwa hili si katika maslahi ya waislamu bali ni mpango wa makafiri.
- Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=HFRmUJOtOnU
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Ipi hukumu ya maandamano ikiwa yataungwa mkono na mtawala… ?
Jibu: Hapana! Maandamano hayajuzu, sawa yakiungwa mkono au hapana. Maandamano ni fujo na yanachangia madhara mengi. Na Uislamu ni dini ya kimya na ya uthabiti. Hakuna maandamano katika Uislamu.
Mtawala hakuamrisha hilo na hata akiamrisha hili atanasihiwa [kwamba halifai]. Ataambiwa kuwa hili si katika maslahi ya waislamu bali ni mpango wa makafiri.
Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=HFRmUJOtOnU
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/maandamano-ni-mpango-wa-makafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)