Swali: Je, amepatia mwenye kusema kwamba maandamano ya leo yanaonesha roho ya Kiislamu na yanachangia haki?
Jibu: Uislamu hauamrishi maandamano, fujo wala Bid´ah hizi ambazo zinapelekea katika madhara mengi na hayachangii manufaa yoyote.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14231
- Imechapishwa: 05/09/2020