Swali: Inajuzu kufanya maandamano dhidi ya mtawala kafiri?
Jibu: Haijuzu kufanya maandamano kwa kuwa yanasababisha kumwaga damu, kuharibu manyumba, kuharibu mali. Na si njia ya kuifikia haki kwa kufanya maandamano, bali inakuwa kwa njia zilizowekwa katika Shari´ah. Kwa sharti la uwezekano wa kuifikia haki kwa njia za Kishari´ah.
- Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=YHnBN1ziPac
- Imechapishwa: 06/09/2020