Maana ya neno “Thayyib” na hukumu yake   

Mzinifu aliyekwishaoa au kuolewa [Thayyib] ni yule ambaye ameoa kwa kufunga ndoa ilio sahihi. Huyu ndiye anayeitwa “Thayyib”. Ikishakuwa hivo, mtu hawezi kuwa “Thayyib” kwa sababu tu ya uzinzi, ndoa batili, ndoa ya Mut´ah na mfano wa hizo. Kishari´ah hazingatiwi kuwa ni Thayyib isipokuwa akifunga ndoa ambayo ni sahihi iliotimiza masharti yake.

Mtu Thayyib akizini damu yake inakuwa halali.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 228
  • Imechapishwa: 16/05/2020