Maana ya maneno haya ni sahihi?


Swali: Ni yapi maoni yako kwa mwenye kusema maneno haya “Nimefanya niwezalo na yaliyobaki namwachia Allaah”?

Jibu: Ndio. Maana yake ni kwamba umefanya sababu na Tawfiyq iko Mikononi mwa Allaah (´Azza wa Jalla). Maana yake ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (62) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13740
  • Imechapishwa: 16/11/2014