Maamuma kasahau kusoma Tashahhud ya kwanza


Swali: Maamuma akisahau kusoma Tashahhud ya kwanza katika swalah ya mkusanyiko. Ni kipi kinachomlazimu?

Jibu: Imamu anamtosheleza kwayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 11/06/2019