Luqmaan alipewa khiyari ya unabii na hekima?


Swali: Ni  kweli kwamba Allaah alimpa khiyari Luqmaan mwenye hekima kati ya unabii na hekima ambapo yeye akachagua hekima?

Jibu: Hakukusihi chochote katika hayo kabisa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 305
  • Imechapishwa: 04/07/2022