Swali: Dada huyu anauliza kwa kusema, ni hali zipi ambazo ni wajibu kwa mwanamke kuoga?

Jibu: Mwanamke ni wajibu kuoga kutokana na hedhi, nifasi na janaba. Anatakiwa kuoga kutokana na hadathi kubwa; hedhi, nifasi na janaba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5426
  • Imechapishwa: 28/09/2020