Lini mtu anakuwa mwanafunzi?


Swali: Ni lini kunasemwa kuambiwa mtu kuwa ni “mwanafunzi” (Twaalib al-´Ilm)?

Jibu: Akiwa ni mwenye kutafuta elimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14725
  • Imechapishwa: 02/05/2018