Swali: Ni ipi hukumu ya kunyanyua mikono wakati wa kuleta Takbiyr katika swalah ya jeneza?

Jibu: Hakuna neno. Imepokelewa kutoka kwa baadhi ya Maswahabah kwamba walinyanyua mikono katika zile Takbiyr nne.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (17)
  • Imechapishwa: 19/09/2020