Kwanza Muhammad, kisha Ibraahiym


Swali: Nawapenda Manabii na Mitume wote. Lakini ninayempenda zaidi ni Muhammad kwanza kisha Ibraahiym (Swalla Allaahu ´alayhim wa sallam). Je, mpangilio huu unajuzu?

Jibu: Wapende. Inatosha. Hakuna faida yoyote ya mpangilio huu. Wapenda na uwaamini Manabii na Mitume wote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2018